
Kwa kuanzia miaka ya 1960-1990 jina hili lilitumika vibaya na makundi ya uhalifu duniani yalikuweko huko italia maarufu kama (mafia gang groups),nmareakni na hata japani yalifhamika kama (yakuza) na kuanza kulitumia jian hili ktk shughuli zao kihalifgu kama uuzaji,usambazaji wa madawa ya kulevya,kumbi za starehe na kuuza wanawake,mauaji na wizi ulipindukia mipaka na kufanya nndio njia kuu za kuendeleza makundi hayo na kukuza uchumi wa makundi hayo ya kihalifu.

Vikundi hivi si vigeni sana kwani hata nchini kwetu vimekuwa vikiendelea kukua mfano Panya road,mbwa mwitu.
Watu wenye uwezo mkubwa au mabosi wanaomiliki makundi haya makubwa yenye mitandao yao ya shughuli hizo duniani kote wao wanafamika kama (Godfathers) kuwa ni jina lililotumika kama kuwaweka ktk hadhi ya juu sana ktk utawala wa makundi yao.
Viongozi hawa Godfather wana nguvu kubwa ya kiuchumi kwa kumuliki majengo makubwa ya biashara na nyumba nyingi za kifahari ndani wakiwemo wanawake na watumwa wa aina mbalimbali kwa ajili ya kuastarehesha wakubwa hao.

Vikundi hivi viliisumbua sana marekani,italia,brazali,mexico,jamaica,colombia,bolivia na sehemu kubwa ya ncvhi za bara ulaya kwa kuweza kufanya biashara nna vitendo kinyume naa sheria kama ubakaji,umalaya,muaji,ujambazi,uuzajin na utumiaji wa madawa ya kulevya,kutumia rushwa kwa watumishi wa serikali na kufanya serikali kushindwa kusimamia haki.
Makundi haya yalihusishwa na imani za dini za kishetani kwa jinsi ya mfumo wao wa maisha ulivykuwepo.

0 Comments "MARUFUKU KUTUMIA JINA (GODFATHER) NJE YA MAMBO YA KIDINI"