
Mtanzania huyu amabye ni maarufu sana kwa kuonekana ktk mitandao kama ya Facebook,Twitter,Jamii forums,Instagram na mingine mingi,sifa yake kubwa ni tabia ya kuwa na uwezo wa kujua mambo mengi ya siri za ndani za watu kutoka Tanzania hasa watu maarufu na viongozi wakubwa wa taifa hili na kuweza kuzaniaka hadharani ktk mitandao hiyo ya kijamii.
Tabia yake hii ya kuwa na uwezo wa kutambua mambo mengi ya siri ya watu mbalimbali licha ya yeye kutokuwepo nchini humu inwashangaza watu wengi hasa vyombon vya usalama na kuhusi labda kuna watu ambao wako ndani hasa ktk idara nyeti za juu za serikali anashirikiana nao ktk kuvujisha habari hizi ambazo nyingine za kwelin na nyingine za kuzua.

Sababu kuu za mange kimambi kujikta matatani ni aina ya habari anazoziwekan ktk mitandao mablimbali kuonekanamkukera au kuaondoa usiri wa mtu na wakati mwingine kujikuta watu wakiingia ktk migogoro.
Wakati mwingine kumekuwa kukizuka lugha mbaya na chafu za matusi anazozitoa yeye au watu kumatukana yeye kwa mambo anayoyaweka ktk mitandao hiyo ya kijamii
.
0 Comments "MANGE KIMAMBI MATATANI"