
Watoto hao ambao kati yao wakike mmoja na wakiume watatu,mama huyu alifika hostali ya mpanda machi 12 akitokea kijiji cha Isengule tarafa ya karema Manispaa ya mpanda ktk mwambao wa ziwa Tannganyika.
Mwanamke huyu sasa anakuwa na mzao wa tatu kwa mumewe Augustino andrew mwenye umri wa miaka 25.
Imezoeleka kwa watu wengi kujifungua mapacha wawili lakini hii inaendelea kuonyesha uwezo wa mungu juu ya uumbaji wake kuwa lolote linaezekana kwake,kwa tanzania hii ianajtokeza sana kwani hata moani mbeya na baadhinya maeneo mengine imetokea kwa wanawake kujifungua watoto wa idadi hii.
Changamoto kubwa inayojitokeza kwa wazazi wa aina hii ni jinsi ya kuwalea na kuwatunza watoto hao wengi kwa kutokana na umasikini au uchumi mbaya wa wazazi husika na kufanya kudolola kwa afya,kushindwa kuwahudumia mavazi,vyakula,huduma za afya.

0 Comments "BINTI WA MIAKA 22 AJIFUNGUA MAPACHA WANNE KATAVI"