
NIGERIA:VYUMBA DUNI ZAIDI YA 4000 KUBOMOLEWA NA KUFANYA WAKAZI 30000 KUKOSA PA KUISHI.
MWANAFUNZI ASHAMBULIA WENZIWE KWA BUNDUKI NA KUUMIZA WATU 10 HUKO GRASSE UFARANSA.
MOROCCO YACHAGUA WAZIRI MKUU MPYA
.
TUNDU LISU AKAMATWA NYUMBANI KWAKE AREA C DODOMA NA KUSAFIRISHWA HADI DAR KISHA KUACHIWA KWA DHAMANA.
UCHAGUZI WA KUMPATA KIONGOZI WA TLS WAENDELEA DAR ES SALAAM TUNDU LISU NAE ASHIRIKI.
UHOLANZI:MARK RUTTE AMSHINDA MPINZANI WAKE GREERT WILDERS KTK MBIO ZA UWAZIRI MKUU.
LOWASSA:WAKURUGENZI WOTE WALIOKATAA KUBADILI MATOKEO YA WABUNGE NA MADIWANI 2015 WALIFUKUZWA KAZI.
0 Comments "TAARIFA KWA UFUPI"