SITA WAUAWA KWA MILIPUKO YA MABOMU SOMALIA

Jumatatu ya leo machI 3 Mji wa Mkuu wa Somalia Mogadishu umelindima milipuko ya mabomu kutoka ktk Gari ndogo nyeupe iliyoingia ktk mitaa inayokuwa na mkusanyiko mkubwa wa watu wa Maka almukaram jirani na hotel ya Wahley.

Kundi la  alshabab limekubali kuhusika na shambulia hilo baya lililoua watu (6) na kujeruhi 11,shambulio hilo  linafanan na mwezi January lililoua watu 26.

Hivi karibuni somalia kufanya Uchaguzi na kumchagua Ndugu Mohamed abdullah Mohamed maarufu Farmajo kuwa rais wa taiga hilo lenye migogoro ya wenyewe kwa wenyewe toka mwaka 1991.




Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "SITA WAUAWA KWA MILIPUKO YA MABOMU SOMALIA"

Back To Top