
Shirika hili la CIA ndio wanaoongoza kwa kuwa na wataalam waliobobea ktk teknologia hii ya mawasiliano IT na kuwa a vifaa vingi vya kisasa vya kuweza kuingilia mawasiliano ya ndani ya mitandao na vyombo vingine wakiwa karibu na wewe au mbali.
CIA wanashutumiwa kufauatilia hata mawasiliano ya simu Doald Trump wakati wa uchaguzi wa mwaka 2016 kwa karibu sana.hata hivy wataalam wa mawasiliano wanasema CIA hawajaishia ktk kuwachunguza viongozi tu bali wanachunguza kila mawasiliano ya mtu yeyote duniani ambae anamiliki simu za kisasa(smart phone) zenye mfumo wa IOS,WINDOW na ANDROID,Watu wanaomiliki runinga za kisasa zinazojulikana kaa SMART TV pia hawako salama kwani runinga na simu hizo kwa mifumo iliyoundiwa upeleka picha,video,sauti na mawasiliano yote ya mitandao ya kijamii kama whatsapp,facebook,twiter huko makao makuu ya shirika hilo.

Kwahiyo kama unamiliki simu,kompyuta,runinga za kisasa kaa ukijua huna siri yeyote ile unayoweza kuifanya bila kujulikana na shirika la CIA kwani kifaa hicho pindi kinapokuwa umekiwasha uwa kinatoa taarifa zote ikiwemo eneo ambalo upo,picha,video,sauti.
Sifikiri kama kutakuwa na ubishi juu wale wanaotumia simu na kompyuta za kisasa je hakuna mfumo wa kioo cha simu kinatumika kupiga picha taarifa zilizopo ktk simu yako? picha hizi zinajulikana kama (sreenshot) uliwahi kujiuliza picha hii inajipiga vipi wakati kamera iko nyuma na mbele tu? je kuna kamera ndani ya kioo?

Lakini pia kwa wale wanaotumia laptp wanajua endapo unahitaji kutumia whatsapp ktk laptop basi utaichukua simu yako na kuielekeza ktk kioo cha laptop yako na utaona laptop inachukua program ya simu na hapo unaweza kuitumia ktk laptop yako.
Mashirika haya ya kijasusi kama CIA yako pia Urusi KGB.uingereza MI 6 na ktk serikali yeyote duniani na yanakuwa na kazi kuu ya kuchunguza taarifa za siri kwa watu mbalimbali kwa ajili ya kulinda usalama wa dola husika.
0 Comments "SIMU,KOMPYUTA NA RUNINGA ZA KISASA ZAANIKA SIRI ZA WATUMIAJI HADHARANI KWA SHIRIKA LA UJASUSI LA MAREKANI (CIA)"