MVUA KUBWA ZASABABISHA MAFURIKO NEWZEALAND

Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha newzealand kwa siku kadhaa zimesababisha mafuriko makubwa na kuleta uharibifu wa miundombinu ya majengo,barabara,umeme,mabomba ya maji, na kuchafua vyanzo vya maji safi.

Sehemu kubwa ya visiwa hivi imeharibiwa vibaya na imekuwa hafikiki kwa uraisi kutokana na maji mengi yaliojaa na kukata barabara na mawasiliano ya simu kwani nguzo za umeme zimeanguka na kufanya sehemu kubwa ya visiwa hivyo kukosa nishati ya umeme.



Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MVUA KUBWA ZASABABISHA MAFURIKO NEWZEALAND"

Back To Top