Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam zimeleta madhara makubwa kwa watu na mali zao kwa ujumla,zaidi ya nyumba mia moja na sitini ktk manispaa ya ilala zimeharibiwa vibaya na kuezuliwa paa zake kutokana na mvua zilizozmbatana na upepo mkali.
Miundombinu ya umeme,barabara na mirefi ya maji imeharibiwa na kujaa maji kiasi cha kuleta shida zaidi kwa watembea kwa miguu na vyombo vya usafiri vipitavyo maeneo ya katikati na pembezoni mwaj jiji.
Viongozi wa jiji hilo wamefanya wametembelea na kufanya tathimini ya uharibifu wa mali na majengo hayo yaliharibiwa na mvua hizo.
Kwa wale wanaoishi maeneo ya mabibo,kigogo ambapo mfereji mkubwa wa maji unakatisha,tandale buguruni na jangwani wamejikuta ktk dhahama zaidi kwa maji kujaa ktk maeneo ya nyumba zao kutokana na miundombinu dni ktk eneo hilo.

0 Comments "KIZAZAA CHA MVUA DAR ES SALAAM"