Kuna aina nyingi nza silaha hatari na za kisasa zaidi zikiendelea kuzalishwa kwa dhahiri na siri kwa mataifa yalioendelea kama Urusi,marekani,ujerumani,china na japani.
Silaha hizi huwa za kikemikali,kibailogia na vifaa vya teknologia ya hali ya juu sana,ila miongoni mwa vifaa vya kisasa ni ndege maalum ya kivita ijulikanayo kama (Eurofighter jet Typhoon) iliyotengenezwa na kampuni ya Eurospace ya ulaya.
Huko nyuma kulishakuwa na ndege nyingi zilizotengezwa na mataifa mbalimbali kwa ajili ya kutumika uwanja wa vita zikiwa na sifa ya wepesi,mwendo kasi,nguvu na uwezo wa kuona adui hata ti za usiku hivyo kuwa na uwezo wa kufanya mashambulizi wakati wowote,ndege hizi ni kama General dynamics F-16,lockheed martin F-22,Macdonell douglas eagle F-15,Dausault Rafale,Sukhoi SU 27 na Saab-JAS 39 Gripen zikiwa ni ndege zilizotengenezwa na mataifa hayo makubwa.
Ikumbukwe kuwa umoja wa mataifa ulishapiga vita matumizi ya silaha za sumu kama sarin na chlorine na hata zile za kinyuklia na atomiki kwani zina madhara makubwa kwa mazingira na hata kwa wanadamu na viumbe wengine kwa mda mrefu kama ilivyotokea huko nagasaki na hiroshima huko japan mwaka 1945 ka marekani kutumia bomu la atomiki.
Ndege hii ya Eurofighter jet super Typhoon ni ndege ya kisasa kabisa uwanja wa vita imetengenezwa kwa chuma kigumu na chepesi zaidi duniani chenye uwezo wa kutoharibika kwa kuingia kutu,kuharibika na maji ya chumvi na kuinaweza kuana kuyeyuka kwa joto linaloanzia sentigredi 1668,chuma hiki kiligunduliwa mwak 1791 kinajulikana kama (Titanium) ndicho kilichotumika kuunda ndege hii.
Ina injini mbili kutoka Canard delta wing na ina uwezo wa kukimbia spidi ya mwisho 1550 mph na kutembea kwa zaidi ya maili 2335 kwa saa moja tu ni mara mbili ya kasi ya spidi ya sauti ikiwa na uwezo wa kufanya mashambulizi popote duniani kwa haraka na kurudi ktk eneo lake la kawaida.
Ndege hizi za kivita uwa na uwezo wa kubeba mabomu kila pande za mbawa zake pia zina bunduki za rasharasha na kuwa na uwezo wa kuharibu madaraja na majengo makubwa zikiwa umbali mkubwa kutoka ardhini,na zinaongozwa na dereva mmoja tu
Dereva huyo huwa anakaaktk kiti maalum ambacho kinaweza kuchomoka wakati wa hatari kikiwa na dereva,kiti hiki kinakuwa na kidumu cha maji,bunduki ndogo,vyakula vichache pamoja na rada pamoja na radio ndogo a mawasilianokwa ajili ya kumsaidia dereva kwa siku kadhaa ktk mazingira yeyote mpaka atakapopata msaada.
Bei ya ndege moja ni Dola milioni 140 za kimarekani sawa na shilingi za kitanzania bilioni 3127600000,Kuwait walinunua ndegen hizi zaidi ya 599 kwa ajili ya jeshi lao.
Silaha hizi huwa za kikemikali,kibailogia na vifaa vya teknologia ya hali ya juu sana,ila miongoni mwa vifaa vya kisasa ni ndege maalum ya kivita ijulikanayo kama (Eurofighter jet Typhoon) iliyotengenezwa na kampuni ya Eurospace ya ulaya.

Ikumbukwe kuwa umoja wa mataifa ulishapiga vita matumizi ya silaha za sumu kama sarin na chlorine na hata zile za kinyuklia na atomiki kwani zina madhara makubwa kwa mazingira na hata kwa wanadamu na viumbe wengine kwa mda mrefu kama ilivyotokea huko nagasaki na hiroshima huko japan mwaka 1945 ka marekani kutumia bomu la atomiki.

Ina injini mbili kutoka Canard delta wing na ina uwezo wa kukimbia spidi ya mwisho 1550 mph na kutembea kwa zaidi ya maili 2335 kwa saa moja tu ni mara mbili ya kasi ya spidi ya sauti ikiwa na uwezo wa kufanya mashambulizi popote duniani kwa haraka na kurudi ktk eneo lake la kawaida.
Ndege hizi za kivita uwa na uwezo wa kubeba mabomu kila pande za mbawa zake pia zina bunduki za rasharasha na kuwa na uwezo wa kuharibu madaraja na majengo makubwa zikiwa umbali mkubwa kutoka ardhini,na zinaongozwa na dereva mmoja tu
Dereva huyo huwa anakaaktk kiti maalum ambacho kinaweza kuchomoka wakati wa hatari kikiwa na dereva,kiti hiki kinakuwa na kidumu cha maji,bunduki ndogo,vyakula vichache pamoja na rada pamoja na radio ndogo a mawasilianokwa ajili ya kumsaidia dereva kwa siku kadhaa ktk mazingira yeyote mpaka atakapopata msaada.
Bei ya ndege moja ni Dola milioni 140 za kimarekani sawa na shilingi za kitanzania bilioni 3127600000,Kuwait walinunua ndegen hizi zaidi ya 599 kwa ajili ya jeshi lao.
0 Comments "NDEGE HATARI UWANJA WA VITA EUROFIGHTER TYPHOON"