NAPE NNAUYE ATUMBULIWA:MDA MCHACHE BAADA YA KUKABIDHIWA RIPOTI

Waziri wa habari,sanaa,michezo na utamaduni Mh. Moses nape Nnauye ameondoewa ktk cheo chake hicho cha uwaziri wa wizara hiyo ya habari,michezo  na utamaduni.

Rais John Joseph Magufuli ametengua uteuzi huo mara moja leo kwa taarifa rasmi kutoka ikulu,nafasi yake hiyo imeshikwa na Dk.Harrison Mwakyembe aliyekuwa waziri wa sheria na katiba na nafasi hiyo ya Mwakyembe imechukuliwa na Profesa Palamagamba Kabudi ambaye ni mbunge wa kuteuliwa.

Nape Nnauye aweka ahadi ya kuzungumzia hilo leo 23/3/2017 saa nane huko Protea hotel Dar es salaam,awaomba watanzania kutulia.



Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "NAPE NNAUYE ATUMBULIWA:MDA MCHACHE BAADA YA KUKABIDHIWA RIPOTI"

Back To Top