MSHIKEMSHIKE IKULU YA MAREKANI BAADA YA KIJANA KUSEMA AMEKUJA NA GARI YENYE BOMU

Wiki hii imekuwa wiki ya vituko tena ndani na nje ya ikulu ya marekani ikiwa ni miongonimmwa maeneo machache kabisa duniani kuwa na ulinzi nz usalama wa hali ya juu kabisa kwa kuhofia kuingiliwa na mahasimu wao wa kimataifa kama urisi,korea kaskazini.

Mshike mshike hiyo imetokea mda mchache tu baada ya kijana mwenye garin ndogo kuja na kupaki mbele ya ikulu hiyo na kuipaki na kukimbilia kwa polisi wa ulinzi na kusema kuwa ndani ya gari yake ndogo hiyo kuna bomu ameweka,hali hiyo iliwaweka walinzi hao ktk mshangao na taharuki na kuanza hatua za kujulinda pamoja na kumkamata kijana huyo na kutokomea nae.

Kwa bahati nzuri Rais Donald Trum,p hakuwepo ndani ya ikulu hiyo ktk mwisho wa wiki hii,Trump alikuwa mji wa Florida eneo la Palm beach akimalizia mapumziko yake ya wiki.

Kijana huyo iligundulika hana Bomu na wala ndani ya gari kulikuwa hakuna bali aliamua kutishia tu,Udhaifu ulionekana kwa mifumo ya ulinzi ya marekani kushindwa kutoa taarifa kabisa juu ya ujio wa gari hiyo.

Hii si mara ya kwanza kwa ikulu ya marekani kuingiliwa na watu wa aina hii kama ilivyotokea wakati wa utawala wa Barrack Obama kwa kijana mmoja kukutwa ndani ya lifti ya ikulu akiwa na kisu.



Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "MSHIKEMSHIKE IKULU YA MAREKANI BAADA YA KIJANA KUSEMA AMEKUJA NA GARI YENYE BOMU"

Back To Top