MAREKANI KUIPIGIA MAGOTI CHINA BAADA YA KOREA KASKAZINI KUTENGENEZA ROKETI YA MASAFA MAREFU ZAIDI

Taifa la marekani na washirika wake wote yaani korea kusini,japan na mataifa ya ulaya wamewekwa roho juu baada ya kuona korea kaskazini akiendelea kupanda juu ktk maswala ya ugunduzi wa silaha za kinyuklia kila uchao.
Amsha amsha hiyo ya aina yake china ya utawala shupavu wa kijana mdogo wa taifa la korea kaskazini Kim Jong Un aliyezaliwa Januari 8/1934 kwasasa akiwa na umri wa miaka 34 tu aliyerithi utawala huo toka kwa baba yake mzazi Kim Jong il aliyefariki Desemba 17 2011.

Toka kuingia madarakani kwa kijana huyu mdogo kumekuwa na kashkash kubwakwa mataifa ya ulaya na marekani  kwa kijana huyu kuonekana kurusha mabomu kila mwezi kwa majaribio ya kutaka kufika tokyo japan na Seoul korea kusini na hata marekani.

Miezi michache ndani ya mwaka huu pekee amejaribu mabomu ya masafa marefu yapatayo matano kuelkezea upande wa bahari ya japan.

Wiki hii korea kaskazini ameweza kutengeneza roketi lenye uwezo wa kurusha mabomu ya masafa marefu kitaalam yanajulikana kama (Intercontinental ballistic missile(ICBM) yenye uwez wa kurusha bara moja hadi nyingine.

Hatua hii imemstua mmarekani na kuamua kumuomba china ambae ni rafiki wa karibu wa korea kaskazini ili kumpoza na atulie juu ya hatua kali anaochukua ambazo zinztishia usalama wa majirani zake na hata mareakani kwa ujumla.

Umbali halisi kutoka korea kaskazini hadi mareakani ni kilometa zipatazo 10,367 sawa na maili 6,442 za angani. na hiyo ndio nia ya korea kaskazini kupata chombo kitakachoweza kurusha bomu kwa umbali huo.



Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "MAREKANI KUIPIGIA MAGOTI CHINA BAADA YA KOREA KASKAZINI KUTENGENEZA ROKETI YA MASAFA MAREFU ZAIDI"

Back To Top