
Ujenzi huo unaotegemewa kuanza hivi karibuni eneo hilo utagharimu zaidi dola za kimarekani bilioni 188 ambazo zitatolewa kwa mkopo na Banki ya dunia (World bank(WB) kwa riba ya asilimia 0.5%.

Rais Magufuli aliongeza kuwa fedha zitakazokopeshwa pia ni zile za mradi wa maji kwa mikoa ya mtwara,arusha na dodoma.
Miradi hii iko pia eneo la Tazara na meneo mengine ya jiji hilo la Dar es salaam hasa maeneo sumbufu y makutano ya Barabara.
Rais aliwasisitiza watanzania kuacha majungu na mambo ya mitandao ya kijamii yanayoichafua serikali na kupoteza mda mwingine kwa hayo,pia Rais aliongeza kuwa wale wote wanaotaka kumpangia nini cha kufanya ktk serikali yake yeye hana mda huo daima na zaidi watakuwa wanapoteza ma kwakuwa yeye haongozi nchi ka matakwa na shinikizo za watu za kisiasa.
Rais amempa nguvu mpya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kuwa yeye asijali na aendelee kufanya kazi kwa spidi na nguvu zote bila kusita ala kuwa na shaka.
0 Comments "BENKI YA DUNIA KUIKOPESHA TANZANIA BILIONI 188 UJENZI A FLYOVER DAR"