MKUTANO MKUU CCM: VIGOGO WASALITI WA CCM WAFUTWA UANACHAMA.

Mkutano mkuu chama cha ccm unaoendele mjini Dodoma kuanzia jana wenye kusudio la kubadili baadhi ya vipengele vya katiba na kupunguza baadhi ya nyadhifa za ngazi za juu ikiwemo na kupunguza idadi za vikao vikuu vya ccm kwa mwaka ili kupunguza gharama za uendeshaji wa vikao ambavyo vinawaswakilishi kutoka pande zote za nchi wakiwa zaidi ya wajumbe 2350.

Baadhi ya wanachama ambao wameonekana kama kuisaliti CCM hasa ktk uchaguzi wa mwaka 2015 kwa kwenda tofauti na matakwa ya chama na kumladhimu mwenyekiti wa chama hiko Mh. John Pombe Magufuli kusema wale wotw waliokwenda kinyume na maadili ya chama lazima washughulikiwe kikamilifu.

Wafuatao chini hapo ndio waliofukuzwa uanachama na wengine kupewa onyo kali



Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MKUTANO MKUU CCM: VIGOGO WASALITI WA CCM WAFUTWA UANACHAMA."

Back To Top