MAGUFULI AMPIGA JEKI MAFTAA NACHUMA

Ktk hali isiyo ya kawaida Rais Magufuli amemsifia mbunge wa mtwara mjini Ndugu Maftaa Nachuma wa CUF kwa kuwepo ktk misafara yote ya uzinduzi wa majengo mablimbali ndani ya mkoa wa mtwara toka alipowasili leo asubuhi.

Pia aliwapiga dongo mubashara wana CCM wa mkoa wa mtwara kwa kulipoteza jimbo la mtwara mjini kwa uzembe uliojitokeza ndani ya chama kwa ugomvi uliokua unaendelea baina ya wanachama hao wa CCM kwa mwaka 2015.

Rais Magufuli alimsifia mbuge huyo kuwa nim kijana,mchapa kazi,mwenye sura nzuri na mwelewa wa maendeleo na anatamani hata siku moja angehamia CCM ili wafanye kazi pamoja,Maftaa nachuma alikaribishwa ktk jukwaa la kuongelea na Rais na kuzungumza na wana mtwara kwa dakika moja.

Wananchi wa mtwara wamekuwa na malalamiko ya chinichini juu ya mbunge huyo kuwa toka achaguliwe yeye amekuwa sio mkaa wa jimboni kwake na kumfanya yeye kushindwa shida za wananchi wakekwa haraka,kununua gari za wanafunzi mbili aina ya Coaster ambazo zinaonekana kusuasua ktk utendaji kazi wake kwa kutumika kwa mambo mawili yaani na kusafirisha abiria kuelekea lindi na kuathiri  kusudio zima a ununuzi wa garui hizo na kumfanya mbunge wa zamani Bw. Asnain Murji mmiliki wa kampuni ya machinga kurudisha basi yake tena kutoa huduma hiyo bure.

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "MAGUFULI AMPIGA JEKI MAFTAA NACHUMA"

Back To Top