James Martin Pecelli Macguinness mpigania haki za kibinadamu wa Ireland ya kaskazini amefariki dunia leo machi 21 2017 baada ya kuugua kwa mda mfupi huko.Macguinness alizaliwa 23 mei 1950 huko Derry na kufariki 2017 wakiwa na umri wa miaka 66,Macgunness alikuwa mpigania haki za kibinadamu kwa mda mrefu huko kwa kupitia chama cha Repulican,lakini pia alishakuwa kamanda wa jeshi la ireland. alishwahi kukutana na malkia Elizabeth wa pili.
Nyadhifa nyingine alizowahi shika ni Uwaziri mkuu msaidizi,macguiness alibahatika kupata watoto wanne na mkewe Benedette.



0 Comments "MACGUINNESS: MPIGANIA HAKI ZA BINADAMU WA IRELAND KASKAZINI AFARIKI"