Rais wa marekani Bw. Donald Trump ameendelea kubana mkanda zaidi kwa watu wa mataifa 8 ya mashariki ya kati na afrika ya kaskazini kama Syria,iraq,mali,libya na afghanistan kwa kuongeza sheria nyingine ngumu itakayowabana zaidi watu kutoka nchi hizo kwa kuwakataza kabisa kubeba vifaa vikubwa vya umeme wakiwa ndani ya ndege zinazoingia nchini marekani ili kulinda usalama wa tifa hilo kutokana na magaidi.
Ikumbukwe kuwa simu,talakilishi ni vitu ambavyo vinaweza kuleta moto endapo kutatokea hata tatizo dogo la kiufundi,vitu hivi vimekuwa vikizuiwa kutumiwa maeneo ya vituo vya mafuta,mitambo mikubwa ya nyuklia,ndani ya ndege kwa kuhofia usalama wa watu na chombo,Trump aliongeza kufanyika uchunguzi mkubwa kwa watu wanaopita uwanja wa ndege.
Vifaa hivyo vitahusisha talakilishi(komyuta za kupakata) na simu kubwa maarufu kamaTablets,gemu za michezo, ikumbukwe kuwa marekani ilishazuia watu kutoka matifa nane kwa miezi mitatu hawatoruhusiwa kuingia kabisa ndani ya mareakani,sasa mkakati huu mpya una kusudia la kuzuia mashambulio zaidi ya kigaidi yanayofanywa na magidi kwa kuteka nyara ndege au kutumia vifaa hivyo kama mabobu au kuwasiliana na watu wabaya nje ya ndege hizo.
Usalam wa marekani umekuwa tete zaidi toka 2001 pale kundi la Al-qaeda likiongozwa na Osama bin laden kutumia ndege za mareakani za abiria na kulipua jengo la kibiashara la kimataifaWTC na pentagon.
Ikumbukwe kuwa simu,talakilishi ni vitu ambavyo vinaweza kuleta moto endapo kutatokea hata tatizo dogo la kiufundi,vitu hivi vimekuwa vikizuiwa kutumiwa maeneo ya vituo vya mafuta,mitambo mikubwa ya nyuklia,ndani ya ndege kwa kuhofia usalama wa watu na chombo,Trump aliongeza kufanyika uchunguzi mkubwa kwa watu wanaopita uwanja wa ndege.

0 Comments "MARUFUKU KUBEBA SIMU,KOMPYUTA NA VIFAA VIKUBWA VYA UMEME KWA NDEGE ZINAZOINGIA MAREKANI"