Mbubge wa Arusha Mjini Godless Jonathan Lema anayekabiliwa na makosa ya uchochezi na kauli mbaya kwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Ndugu John Joseph Magufuli kwa kumwambia kuwa atakufa kabla ya mwaka 2020.
Ktk kesi yake inayomkabili ilikuwa imezuiliwa kabisa kuwa haina dhamana na kusababisha kuwekwa ndani kwa mda mrefu sasa lakini sasa kutokana na shauri la leo .
Mahakama kuu ya arusha imeamua kumauchia kwa dhamana ya shilingi milioni tatu taslimu.

0 Comments "LEMA AACHIWA HURU KWA DHAMANA"