Mahakama ya juu nchini zimbabwe imekusudia kupitisha na kuwasilisha hoja ya watoto juu ya kukataza watoto kupigwa Viboko wanapokuwepo nyumbani na shuleni.
Hii imekuja baada ya mtoto mmoja ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi nchi hiyo kupigwa viboko na kuumizwa vibaya,kosa hilo limetendwa na mwalimu wake.
Kosa kubwa la mwanafunzi huyo lilikuwa ni kupewa kazi ya nyumbani ktk msomo yake na kutaka pindi atakamaliza kufanya mzazi aweke saini yake chini kitu amabcho hakikufanywa.
Watetezi wa haki za kibinadamu wamesema kua hilo ni kosa lakini swala la kupinga kabisa kwa matumizi ya viboko kwa watoto nyumbani na shuleni ni tatizo kwa malezi bora ya kitabia,hivyo haipaswi kukataza kabisa.
Wakati huo huo kiongozi wa nchi hiyo Bw. Robert mugabe amepelekwa nchini Singapore ghafla kwa kuangalia afya yake zaidi kwa kuchukua vipimo,Mugabe aliye na umri wa miaka 93 anasuimbuliwa na magonjwa ya uzeeni,maramara kwa mara amekuwa akianguka mbele ya mikutano nya hadhara na kushindwa kuhudhuria kazi nyingi za kitaifa.

0 Comments "ADHABU YA VIBOKO YAPIGWA MARUFUKU NYUMBANI NA SHULENI"