JE WAJUA? QATAR NDIO NCHI TAJIRI ZAIDI DUNIANI






Watu wangi tumekuwa tukizani kuwa marekani (USA) Ndio Taifa tajiri zaidi duniani,lakini wengi wetu tumefikia mahali mtu anaposafiri kuelekea mareakani (USA) tunasema amekwenda ulaya.

Ulaya ni bara linalojitegemea na lina nchi zake kila moja ikiwa na tawala yake na marekani (USA) nchi iliyo mbali kabisa na marekani,watu wamekuwa wakifananisha hivi ni kutokana na kufananisha kwa maendeleo yalifikiwa na Marekani kushabihiana na ulaya.

Nchi ya kwanza kwa kuwa na maendeleo na Tajiri ni Ujerumani kwa bala ulaya na nchi ya Moldova ya ulaya mashariki ikiwa ndio nchi masikini kabisa bara ulaya. Nchi ya za ulaya magharibi nyingi zimepiga hatua kubwa za maendeleo kuliko zile za ulaya mashariki.

Utajiri wa nchi hizi 20 kwa uchumi utapimwa kwa  mtindo wa (GDP).

1.Qatar ndio nchi tajiri kabisa duniani ikiwa inamiliki dola Trilion 140,649

2.Luxembourg trilion 97,662

3.Singapore tilion 82,763
4.Kuwit trilion 73,246

5.Brunei trilion 71,185

6.United arab emarates trilion 67,674

7.Norway trilion 64,856

8.Switzerland trilion 57,235

9.USA trilion 54,630

10.Ireland trilion 48,755

11.Natherland trilion 47,633

12.Austria trilion 46,223

13.Germany trilion 46,401

14.Australia trilion 45,925

15.Dernmark trilion 45,537

16.Bahrain trilion 45,500

17.Sweden trilion  45,297

18.Canada trilion 45,066

19.Iceland  trilion 43,993

20.Belgium trilion 43,435


Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

1 Comment "JE WAJUA? QATAR NDIO NCHI TAJIRI ZAIDI DUNIANI"

Umesahau Tanzania nyo IMO ktk 10 bora
Au unaionea wivu

Back To Top