FURAHA NDIO KILA KITU MAISHANI?

Furaha nini? Ni kwa kivipi unaweza kuitafuta furaha?  Je furaha inaandaliwa? Furaha ni hali ya mtu au ubongo wa kiumbe kutokuwa na msongo wa mawazo,shida au mchangamano wa mambo mengi yasiyo na utatuzi(free mind). Kuhisi kila kitu kiko sawa.

Furaha inaweza kuja na kuondoka kwa ghafla kama kilivyo kifo kulingana na mazingira na matukio,wakati mwingine furha uja kwa mtu kutofahamu mambo yanayomkabili na pindi anapojua tuy huwa ni tatizo na husababisha kuondoka kwa furaha.

Imani za dini zinasema kuwa mwanadamu ameumbwa kusahau hivyo hata akikutwa na mambo mabaya kiasi gani iko nyakati kadri siku zinavyosonga mbele uanza kusahau taratibu na inafikia hatua atakumbuka mara chache.

Mwanadamu anaishi nje ya furaha kwa zaidi ya asilimia 70% ktk maisha yake yote na 30% ndio furaha uchukua nafasi yake.

Leo machi 24 ndio siku ya furaha duniani kote Norway imeshika namba 1 kwa watu wake wengi kuishi kwa furaha zaidi duniani ikimpita Denmark iliyoshika namba 2 mwaka huu licha mwaka jana kushika nafasi ya kwanza

Rwanda namba 151 na Tanzania kushika namba 154 ktk nchi 155 mwanachama wa umoja wa mataifa.

Furaha ina msongamano wammambomengi sana ili iweze kuja,kudumu ila ni rahisi zaidi kuiondoa furaha kuliko ilivyo vigumu kuileta furaha kwa mtu.




Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "FURAHA NDIO KILA KITU MAISHANI?"

Back To Top