
Hosni Mubarak mwenye umri wa miaka 88 kwasasa anarudi uraiani kuishi maisha yake ya kawaida baada ya nchi hiyo kupita ktk misukosuko ya kupinduliwa kwa Mohamed mosri na kushikwa kwa madaraka kwa aliyekuwa mkuu wa jeshi Abdel Fattah al sis ambae ndio rais wa nchi hiyo ya afrika kaskazini.
0 Comments "ALIYEKUWA RAIS WA MISRI:HOSNI MUBARAK AACHIWA HURU"