
Hatua hii imechukuliwa baada ya zanzibar kupata nafasi ya kipekee na chama cha mpira wa miguu duniani (FIFA) hivi karibuni na kuwakilisha visiwa hivyo kipekee badala ya kutegemea kuwakilishwa kama zamani na chama cha soka Tanzania (TFF).
Rais shein alishangazwa na tabia ya klabu hizo kuwa na tabia ya kukimbilia mahakamani badala ya kutatua migogoro yao wenyewe,hata hata hivyo Dk.shein ameahidi kusaidia chama hicho cha (ZFA) ili kwenda mbele kimataifa ktk soka.Serikali ya Dk. shein emetimiza mwaka mmoja sasa toka kuchaguliwa upya baada ya kurudiwa kwa uchaguzi.
0 Comments "DK.SHEIN AIONYA ZFA KUTOKWENDA MAHAKAMANI"