Japan ndio nchi yenye watu wanoongoza a karibu kuishi mda mrefu ziad duniani na zaidi ya 33% ya idadi ya watu wake ni wazee wenye umri wa kuanzia miaka 65 na kuendelea.
Mzee Yasuturo koide mwenye umri wa miaka 112 alizaliwa 13/31903 alipata tuzo ya Guiness world book kwa kuwa mtu alieyeishi zaidi duniani,wengine waliowahi kuvunja rekodi kwa kuishi zaidi ni Naji tajima 4/4/1900 miaka 116,emma morano miaka 117,Lin ching yuen aliishi miaka 122 na siku 164,Misao okawa 117 na wengine wengi waliwahi kuishi zaidi ya miaka hiyo.
Nini siri ya japani kuwa ndio taifa linalo ongoza kuwa na wanadamu wanaoishi zaidi duniani?
Sababu ya kama ni kula vyakula vya kiasili,huduma bora za afya,kiwango kikubwa cha kuthibiti magonjwa kwa kuzingatia masharti ya afya na usafi,kiwango cha uchumi kwa raia zake,kuzinagtia kuishi maisha ya kiasili na mazoezi ya miili yao,ni watu wasiojihusisha sana na vitendo vya ngono.
Nchi zinazofanana na japan kwa watu wake kuishi zaidi duniani ni china,iceland,indonesia,mongoli na nchi nyingi za asia kusini mashariki.
0 Comments "JE WAJUA KUWA WAJAPANI NDIO WATU WANAOISHI MDA MREFU ZAIDI DUNIANI?"