CHINA NA MAREKANI ZAONYESHANA KIBURI KTK MAJESHI

Baada ya serikali ya marekani chini ya utawala wa Chama cha mlengo wa kulia kikiongozwa na Rais Donald Trump kuamua kuoneza bajeti yake ya mambo ya kijeshi kwa asilimia 10 zaidi na kufanya kuwani mara nne 4 zaidi ya ile ya jeshi ya ya china.

Trump alieahidi kuongeza bajeti hiyo ktk maswala ya kijeshi ikiwemom kuongeza mishahara na poshom kwa wafanyakazi,ugunduzi wa silaha mpya za kisasa,kuongeza na kuimarisha vituo vyake vya kijeshi vilivyopo maeneo tofauti duniani kama iraq,afghanstan,japan ili kuhakikisha idara za usalama kama za NSA,FBI,CIA zinafanya kazi zake kwa umakini na hali nzuri kabisa ktk kulinda amani ya taifa hilo kubwa kiuchumi duniani ndani na nje.

Siku chache tu baada ya tangazo hilo la marekani serikali ya jamuhuri yta watu wa china imeamua kuongeza bajeti yake ya mambo ya kijeshi kwa asilimia 7 zaidi ili kujibu marekani,china,korea kaskazni na marekani zikiwa ni nchi zenye kutumia pesa ktk mambo ya kijeshi nyingi na kuwa na idadi ya wanajeshi wengi zaidi imeamua kufanya hivyo kutokana na ugomvi wa kugombea visiwa vya bahari ya kusini baina yake na japan,hivyo inakusudia kuweka jeshi imara eneo hilo ili kulinda usalama wa mipaka yao.

China inashutumiwa na japan kwa kutengeneza visiwa bandia ktk bahari hiyo kwa kusudio  la kuendelea kukalia eneo hilo kibabe.



Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "CHINA NA MAREKANI ZAONYESHANA KIBURI KTK MAJESHI"

Back To Top