BASI MPYA YA MH.MSUKUMA YAZUA UTATA KISA KUWA NA BANGO LINALOSOMEKA "VYETI FEKI"

Gari kubwa basi ya abiria inayoyafnya kazi zake ukanda wa ziwa victoria imeleta kashkash ba kukamatwa baada ya ya kuwa na bango lilisomeka "Vyeti feki" kwa chini na kwa juu ikiwa na picha ya Rais wa awamu ya nne Mh.Jakaya Mrisho Kikwete.

Mbunge na mfanyabiashara wa geita vijijini Joseph Msukuma kwa tiketi ya ccm amehojiwa na kutoa ufafdanuzi juu ya gari yake hiyo kuwa na maneno hayo. Yeye ana elimu ya darasa la saba lakini ni sawa na mweye Phd kwa jinsi anavyojiona.

Amesema yeye ana magari yapatayo11 yote yakiwa na mabango ya maneno mabalimbali yakiwemo  na picha za Magufuli na msukuma mwenyewe,maneno bombadia,hatujaribiwi,yesu ni mmoja,tuwalinde wamachinga,tuliwapa uhuru lakini hamkuutumia,hata ukiwahi wenyeji hatukutambui,karibu jimboni sasa yeye anashangaa kwanini wameamua kuishikilia ile iliyoandikwa vyeti feki pekee!






kupata sauti ya Mh.msukuma akielezea juu ya tukio hilo bonyeza picha ya chini


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "BASI MPYA YA MH.MSUKUMA YAZUA UTATA KISA KUWA NA BANGO LINALOSOMEKA "VYETI FEKI""

Back To Top