WALIMU 7460 WA SEKONDARI KUHAMISHIWA SHULE ZA MSINGI

Serikali imekusudia kuhamisha walimu 7460 wa masoma ya sanaa wenye elimu ya shahada na stashahada waliozidi ktk shule hizo za sekondari,hatua hii imekusudia kupunguza walimu wa masomo ya sanaa waliozidi kwa shule za sekondari na kuwapeleka shule za msingi ambako kuna upungufu mkubwa wa walimu hao.

Na walimu zaidi ya 3,000 wapya wataajiliwa mwaka huu wa bajeti 2017/18 na kupelekwa shule za msingi na sekondari,lakini ikumbukwe kuwa walimu zaidi ya 30,000 walihitimu vyeti,shahada na stashahada waliomaliza kwa mwaka 2015/16/17 wako mtaani kutokana na kukosa ajira baada ya serikali na taasisi binafsi kushindwa kuajiri wahitimu hao.



Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "WALIMU 7460 WA SEKONDARI KUHAMISHIWA SHULE ZA MSINGI"

Back To Top