Habari za hivi punde ni kuwa aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya ndani baada uhuru tu Sir George Kahama amefariki dunia mda huu ktk hospitali ya taifa muhimbili (MNH).
Habari hizi za kifo hiko kimethibitishwa na Balozi Juma Mapachu ambaye ni shemejie,amesema kifo chake kimesababishwa na magonjwa ya mda marefu na umri mkubwa.
alikuwa waziri wa mambo ya ndani mwaka 1961-1962

0 Comments "ALIEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI BAADA UHURU SIR GEORGE KAHAMA AFARIKI"