WAZIRI WA MAMBO YA NJE AWA RAIS WA UJERUMANI

Alieyekuwa waziri wa mambo ya nje wa nchi ya ujerumani anayejulikana kam Frank walter steinmeier mwenye umri wa miaka (61) kwa sasa amechaguliwa kuwa rais wa wa kumi na mbili(12) wa taifa la ujerumani kwa  kwa kupitia chama cha social democratic party of germany kwa kupata kura (931 kati ya viti 1260) kutoka ktk majimbo 16 yalipo ktk nchi hiyo,steinmeir amemshinda rais aliyekuwepo madarakani Joachin gauck mwenye umri wa (77).ambae amehudumumktk ofisi hiyo kama rais toka mwaka (2012).

Steinmeir anajulikana kwa siasa zake za kupinga ujamaa kwa miaka mingi hivyo wajerumani wanategemea kupata rais atakayekuza na kuhuhisha demokasia ktk taifa lao,steinmeir alishawahi kushika cheo cha kansela wa ujerumani cha usaidizi mwaka 2007-2009.

Ktk mfumo wa nchi hii ya ujerumani kansela ndio anakuwa mtendaji mkuu wa shughuli zam serikali,na kansela huyo kwa sasa anafahamika kam Bibi Angela markel.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "WAZIRI WA MAMBO YA NJE AWA RAIS WA UJERUMANI"

Back To Top