WAZIRI MKUU WA ISRAEL ATEMBELEA MAREKANI

Waziri mkuu wa israel bwana Benjamin Netanyahu amezulu marekani na kukutana na mwenyeji wake Rais Donald Trump na kuzungumzia maswala ya uasalama wa mashariki hasa ktk tishio la ugaidi ktk eneo hilo.

Hivi karibumi taifa la Israel lilipata piki pigo kutoka umoja wa mataifa kwa kupiga kula ya ndio kuhusu usitishwaji wa ujenzi wa makazi ya kudumu ktk ukanda wa magharibi mwa mto jordan kitu ambacho israel hawajakubaliana nacho na kuona sawa  na kuonewa na jumuiya ya umoja wa mataifa.

Rais Trump akiwa ikulu na mgeni wake bwna Benjamin netanyahu alimueleza waziwazi kuwa wala asipate hofu juu ya usalama wa  taifa hilo la israel,Israel  inamgogoro na palestine kwa miaka mingi ila ukawa mkubwa baada ya vita ya 1967 ambayo iliwafanya waisrael kuteka maeneo mengi.

Israel inatawaliwa na vitisho kutoka nchi ya syria,palestina hasa ukanda wa gaza ambao unmatawaliwa na (HAMAS) chini ya Ismail Haniya amabapo mda si wanatarajia kumweka kiongozi mwengine.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "WAZIRI MKUU WA ISRAEL ATEMBELEA MAREKANI"

Back To Top