
Wananchi wa kenya wamelalamikia serikali kwa maamuzi hayo ambayo yanaathiri sana sekta ya huduma yza afya na kutaka serrikali kukaa nao chini na kuzungumza kwa kuwapa haki zao,hali ya mgomo imefikia kwa hospitali za bianafsi kuacha kutibu wagonjwa.
Madaktari hao wameapa kutorudi kazini hadi watakapolipwa stahiki nba posho zao zote wanzaidai serikali toka mwaka 2013 hadi sasa,mgomo huu umeingia mwezi watatu sasa toka kuanza kwake.
0 Comments "MADAKTARI WALIOHUKUMIWA KIFUNGO KENYA WAACHIWA HURU"