Wednesday, February 15, 2017

India imevunja rekodi ya dunia kwa kurusha satalaiti mia moja na nne(104) ktk roketi moja baada ya urusi kufanyan hivyo mwaka 2014 kwa kurusha satelaiti 37 kwenda anga za juu,mwenyekiti wa shirikaa la mambo ya anga wa india (india space organization agency) bwana A.S Kiran Kumar amesema satelaiti hiyo itakayosafari zaidi ya maili elfu kumi na saba (17000m) kwa saa moja imetumia gharama ya dola milioni kumi($10) mpaka kukamilika kwake.
India imesema kusudio ya kupeleka satelaiti hizo anga za kimataifa ni kukuza na kufanya kuwa na ufanisi ktk maswala ya biashara,usalama na mawasiliano ya kidunia..
Shirika hili la india lilishatuma ndege yake ya uchunguzi wa kisayansi kwenda sayari ya mars mwaka 2012 na kutumia zaidi ya dola milioni mia sita sabini na moja(671) na sasa wanaahidi kurusha zaidi ya satalaiti 120 kwa pamoja.
0 Comments "INDIA YAVUNJA REKODI YA DUNIA KWA KURUSHA SATALAITI 104 KTK ROKETI MOJA"