MSHAURI WA MAMBO YA USALAMA WA TRUMP AJIUZULU

Mshauri mkuu wa mambo ya usalama wa serikali ya Donald Trump amejiuzulu cheo hiko baada ya kutofautiana ktk mawazo na ushauri wake,mataalam huyo wa mambo ya usalama Bwana Michael Flynn amekiacha cheo hiko kwa kile alichokisema kuwa Rais Trump amekuwa mgumu sana kushaurika hasa ktk mambo ya usalama wa nchi na kufanya mambo kuwa magumu ktk utawala.

Michael flynn alioongeza kwa kusema sheria ya kukataza nchi saba za kiislamu kukataza wasiingi marekani na kufanya mazungumzo ya mara kwa mara na Rais wa urusi Vladimr Putin akiwa ofisini kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa taifa la marekani ikizingatiwa kuwa urusi ni taifa hasimu mkubwa toka miaka 1990 hadi sasa na kutofautiana mara kwa mara ktk kushughulikia mambo ya kidunia ikiwemo aman.

Flynn alisema alishajitashidi kumshauri Trump mara nyingi juu ya usalama wa taifa lakin amekuwa akipuuzia ushauri wake hivyo imelazimu yey kujiuzulu ili kuleta dhana ya uwajibikaji.

Rais Trump amekuwa kiongozi anayetaka kutekeleza sera zake zote alizoahidi wakati wa kampeni za kuwania cheo hiko kama kujenga ukuta  baina ya mexico na marekani,kuondoa wahamiaji haramu na kuweka usalama wa taifa hilo ikiwa pamkuongeza ajira kwa wananchi.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MSHAURI WA MAMBO YA USALAMA WA TRUMP AJIUZULU"

Back To Top