Iceland ni miongoni mwa nchi inayopatikana kizio cha kaskazini cha dunia ilipo bahari ya aktiki,ni miongoni mwa nchi ndogo na yenye uchumi wa juu sana,shughuli kuu ya taifa hili ni uvuvi!! Inasemekana watu wake ni miongoni mwa watu wanaoishi kwa muda mrefu zaidi ulimwenguni licha kuwepo nchi kama Japan,China,Mongolia nazo sikiwa na sifa hizo!!! Leo tutatazima zaidi sababu na jinsi ya kuepuka Iceland ni miongoni mwa nchi inayopatikana kizio cha kaskazini cha dunia ilipo bahari ya aktiki,ni miongoni mwa nchi ndogo na yenye uchumi wa juu sana,shughuli kuu ya taifa hili ni uvuvi!!
Inasemekana watu wake ni miongoni mwa watu wanaoishi kwa muda mrefu zaidi ulimwenguni licha kuwepo nchi kama Japan,China,Mongolia nazo sikiwa na sifa hizo!!! Leo tutatazima zaidi sababu na jinsi ya kuepuka kuzeeka kwa haraka!!!! kwa haraka!!!!Ktk itakadi za kiimani au kidini inajulikana wazi kuwa swala la mwanadamu au kiumbe hai kukutwa na kifo au umauti in jambo lililopangwa na kuratibiwa kwa umakini na mungu aliyewaumba wanadamu sisi,japo kisayansi inakataa hiyo hoja,mpaka sasa ktk maisha kuna kitu kinaitwa "life expectancy" yani makasio au makadilio ya mtu au kundi la watu fulani kuishi ktk dunia hii,viwango vimewekwa tofauti ktk nchi,mfano wamarekani na ulaya wao huishi miaka isiyopungua 78,Asia 60,Africa e.g Tanzania 45,tofauti hiyo huletwa na aina ya vyakula,lishe,huduma za kiafya,aina ya kazi,aina ya maisha anayoishi mtu,mazingira,aina ya kazi anazofanya.

0 Comments "WATU WANAO ISHI MDA MREFU DUNIANI"