UKUAJI NA TABIA

TABIA:-Neno tabia lina maana ya mwenendo au utaratibu mzima wa kiumbe kitu au mnyama ktk maisha yake ya kila siku,ziko tabia za aina kuu mbili tu yaani za kimazingira(environment) na za kiasilia(nature or Genesis),kwahiyo kiumbe hupata tabia nyingi nyinginezo kutokana na makundi hayo Mawili tu, Tabia za asili ni tabia ambazo kiumbe huzaliwa au kuumbwa nazo kimaumbile,kama aina ya chakula anachopendelea,utembeaji wake,utashi wa wa kimawazo,vitendo vyake n.k Ila kwa Leo nitazungumzia kidogo tu juu ya tabia hii ya kimazingira!
Tabia ya kimazingira au environment ni tabia ambayo mwanadamu huipata kwa kufundishwa,kuona,kuelekezwa kwa maneno au vitendo!! Kwa mujibu huo MTU anaweza akazaliwa na tabia ya asili Ila mazingira atakayolelewa yanaweza changia kwa 100% kubadili aina na mfumo mzima wa tabia ya mtu huyo,Tukianzia wakati mwanadamu anapokua Mtoto kuanzia umri 0-20 ndio kipindi bora na kizuri kwa Mtoto husika unaweza kupandikiza tabia mpya kwake,njia nyepesi zaidi ya kupandikiza au kufunza tabia kwa Mtoto ni kwa mzazi husika kuwa yeye ndie mfano na kiigizo kwa Mtoto Hugo kwa matendo na maneno yake ya kila Siku,kifupi maisha ya wazazi wawili yanatakiwa kuwa mfano bora kwa Mtoto kwani wao ndio walimu wa kwanza ktk mafundisho ya Mtoto huyo, watoto kwa kawaida wao huathirika zaidi na matendo au mambo ya kuona kuliko ya kusikia!! Hivyo mzazi anastahiki kuishi
 Uwezo wako wa kutatua na kujibu mambo yanayokufika ktk harakati zako za maisha ndio unaweza kusababisha wewe kuishi kqa amani na furaha au ktk matatizo,kwani unaweza kuzuia majanga na purukushani nyingi kutokea kwa kupata majibu mwafaka kwa tukio husika,watu Wengi hujikuta hatarini na sehemu mbaya kabisa ikiwemo jela,vituo vya polisi,wakipigana,wakitukanana,wakishindwa kuongea na wenzao kwa kosa la kutokufahamu aina gani nzuri ya tiba ya tatizo lililomkuta umakini kwa kila tendo au neno asemalo aua atendalo mbele ya mtoto.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "UKUAJI NA TABIA"

Back To Top