SAA ZA GHARAMA ZAIDI DUNIANI



Tumevaa saa za aina nyingi tukiwa shule za msingi hadi sasa japo kwa kutokana na matumizi makubwa ya simu za mikononi ambazo zinaonyesha saa pia zimesababisha kupungua kwa matumizi ya za mkononi na kufanya kuwa ni sehemu ya kuvalika kama urembo tu,saa za mshale hata zile za kumwekua kama CITEZEN,CASIO Ila saa hizi zionekanazo ktk picha ndio saa gharama zaidi duniani ambazo huundwa kwa madini ya aina mbalimbali kama silver,gold,diamond! ROLEX ni mingoni mwa saa hizo.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "SAA ZA GHARAMA ZAIDI DUNIANI"

Back To Top