MAGONJWA YA AKILI

Mwishoni mwa mwaka Jana (2016) zilisambaa habari nyingi kuhusu ugonjwa wa upungufu wa akili unampata mwanadamu! Makadilio ya kihesabu inaovyesha kuwa kila kwenye watu watano(5) basi mmoja(1) kati ya hao anaugua ugonjwa wa akili!! Mini maana ya ugunjwa wa akili(kichaa,uchizi,punguani)? Ugonjwa wa akili ni hali ambayo humpata mtu kwa kuzaliwa nao au baada na kumfanya mtu huyu kuchanganyikiwa ktk ufanisi wake wa kimawazo,matendo na maneno yake!! Kupoteza utu!! Ikiwemo kuongea matusi,kupiga watu bila sababu,kukosa unadhifu wa mavazi,mwili n.k Nini sababu ya magonjwa haya ya akili ambayo yameathiri ulimwengu kwa kiasi kikubwa!!
Moja ni kurithi kutoka kwa kizazi chako(genetics),maambukizo ya magojwa ya ktk ubongo,kupata ajali ya kichwani,kuzaliwa kabla ya wakati(njiti),Talaka na kuachika,msongo wa mawazo wa muda mrefu,kunyanyaswa kijinsia,kuktaliwa au kutengwa,mlo mbaya(poor balance diety) malnutrion,kufiwa na watu wa msingi na karibu,matumizi ya madawa na vilevi. Dalili za magonjwa ya akili ni kama zifuatazo:-
Kuchanganyikiwa Mara kwa Mara,kula sana na hovyo Mara kwa Mara,kukosa au kupata usingizi Mara nyingi,kuota ndoto zizizoeleweka au za kutisha na kusababisha mstuko,kuhisi na kupiga kelele au kuzisikia kelele wakati hazima,kuongea mazunguzo yasieoleweka!!
Zingatia sio lazima mgonjwa wa akili avue atembee uchi,au kula jalalani!! Magonjwa haya wanayo watu Wengi sana na hawana dalili hizi!! Kwetu Africa magonjwa haya tunayahusisha sana na imani za kishirikina(uchawi,kurogwa)
Baadhi ya magonjwa haya anaweza kupona kabisa na kurudi ktk hali ya kawaida kwa kupata matibabu na ushauri qa kisakolojia na mengine haiwezekani kupona daima!!!

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MAGONJWA YA AKILI"

Back To Top