SIMU ZA GHARAMA ZAIDI

Najua wajua! Kwa Pande za kwetu Africa tumezoea kusikia na kuona simu za aina mbalimbali kama Nokia,Samsung,techno,itel,HTC,Sony Ericson,Sony,siemens n.k lakini kaa ukijua ziko simu duniani zenye thamani ya mamilioni ya shilling ya kitanzania ambazo wanatumia viongozi wa serikali matajiri na watu maarufu ulimwenguni,simu hizi utengenezwa kwa kutumia madini ya dhahabu,almasi,tanzanite,silver,mercury ktk vifaa vyake mbalimbali na asilimia 70 hufungwa kwa mkono(manual or handmade) Simu hizo ni kama VERTU ZA UINGEREZA,BLACK DIAMOND VIPN,DIAMOND CRYPTO,GRESSO LEXOR,GOLDVISH LE,IPHONE 3G KINGS,DIAMOND ROSE,SUPREME GOLDSTRIKER,simu hizi zinaweza kuanzi a bei ya million 15 na kuendelea........... Watu kama tigerwood,roger federal,Serena and vanesa Williams,wacheza filamu wa Hollywood,bollwood hutumia aina hizi ya simu za gharama ya juu kabisa ulimwenguni. hizi za Samktya simu.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "SIMU ZA GHARAMA ZAIDI"

Back To Top