MAKOSA YA JINAI

Najua wajua! Miongoni mwa makosa makubwa kisheria (NI MAKOSA YA JINAI) criminal cases ambayo yanaweza yakampelekea Mtendaji kufungwa kifungo kirefu au cha maisha,kuhukumiwa kunyongwa,kutokupata dhamana pindi anapokutwa na hatia,Makosa haya ni kama MAUJI YA AINA YEYOTE,UBAKAJI,KUNAJISI,KULAWITI,UESHARATI WA KUJIUZA AU UCHANGUDOA,KUTEKANYARA,KUUZA BINADAMU AU VIUNGO VYAKE,MAPENZI YA JINSIA MOJA(USAGAJI NA USHOGA),UTAPELI,MAKOSA YA KIVITA,KUDHALILISHA KIJINSIA,UJAMBAZI,WIZI WA KAWAIDA,MATUMIZI YA SILAHA KINYUME NA SHERIA,UDANDANYIFU,KUUZA NA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA,UTOAJI A MIMBA n.k Makosa haya yamewekwa ktk kundi hili la makosa makubwa kutokana na madhara makubwa yanayoweza kumpata anayetendewa au jamii kiujumla ikiwemo kupoteza maisha,kuleta ulemavu,kuathirika kisaikolojia,kusambaa kwa magojwa,kuleta hofu ktk jamii au mtu,kuribu kizazi kiakili,kuleta tabia mbaya,kukiuka haki za kibinadamu kama ya kuishi.Hata hivyo watendaji wa makosa haya wakati mwingine imekuwa vigumu sana kuwatia hatiani hasa ktk nchi zilizoendelea kama marekani na ulaya kutokana na mbinu na jinsi nyingi zinazotumika kufanya na kutekeleza makosa haya,hata hivyo kutokana kwa kukua na kuendelea kwa matumizi ya sayansi na teknologia wanasayansi wanatumia njia kama kuchukua alama za vidole(finger print),damu(DNA),kupima mifupa ya muathirika,kutumia camera za mitaani,kutoa adhabu Kali kushinikiza mtuhumiwa kukili makosa,kutumia njia za kisaikolojia(detective) ktk kutambua ukweli juu ya matukio hayo,nchi kama USA,Brazil,Jamaica,Colombia,Thailand,Burma,Cambodia,Afghanistan,Venezuela,panama,Canada,Britain uk haImage may contain: 3 peoples a ktk mini mikubwa na yenye watu Wengi.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MAKOSA YA JINAI"

Back To Top