WATAALAM WA MIAMBA WAHITAJI NEW ZEALAND KUTAMBULIKA KAMA BARA LA NANE DUNIANI

Wanajiografia na wataalam wa mambo ya miamba wamehitaji visiwa vya new zealand kutambulika kam bara la nne duniani baada ya kufanya utafiti kwa mda mrefu ktk visiwa hivyo vilivyopo bahari kubwa ulimweguni ya pasifiki na vikipakana na visiwa vya papau new guinea na bara dogo linallotambulika kwa sasa yaani australia.
Kwa uchunguzi wa miamba uliofanyika wataalam hao wamegundua kuwa visiwa hivyo ni vikubwa ktk eneo tofauti na vinavyoonekana sasa ila sehemu kubwa ya ardhi imefunikwa na maji hivyo haionekani kwa urahisi.

Asilimia ( 94% ) sawa na kilometa za mraba milioni nne na laki tisa (4.9) ya ardhi ya  visiwa vya new zealand zimefunikwa na maji,wataalam wa miamba (geologists) kutokana na ukubwa huo wameshauri kuifanya new zealand kuwa bara la nane.
 

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "WATAALAM WA MIAMBA WAHITAJI NEW ZEALAND KUTAMBULIKA KAMA BARA LA NANE DUNIANI"

Back To Top