RAIS WA MISRI ATEMBELEA KENYA

Kiongozi na rais wa sasa wa nchi ya misri Bw.abdel fattah el sisi amezuru tifa la kenya  kukutana na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyata na kuzungumza mambo mbalimbali ya biashara,usalama na kidiplomasia.

Abdel fattah el sisi ambaye kabla ya kushika cheo hicho cha urais yeye alikuwa mkuu wa majeshi ya ulinzi wa misri chini ya utawala wa Hussein mubaraka ambaye kwa asa amefungwa nchini humo baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha kwa kukutwa na makosa ya jinai na ukiukwaji wa haki za kibinadamu wakati wa utawala wake wa kidikteta na wakati wa mapinduzi ya serikali yake yaliofanyika mwaka 2011 na kufanikiwa kuiangusha serikali hiyo na uchaguzi upya na kuchaguliwa kwa kiongozi wa chama cha muslim brotherhood(mMohammed mosri) kisha kupinduliwa na mkuu wa jeshi huyo abdel fattah el sisi.

Al sisi aliwasili kenya jana na kupokelewa na mwenyeji wake rais wa kenya Uhuru kenyatta.



Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "RAIS WA MISRI ATEMBELEA KENYA"

Back To Top