MFANYABIASHARA JIJINI MWANZA AKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA

Mfanyabiashara kmubwa wa jijini mwanza bwana Kassim Ahmed amekutwa na kete zaidi ya mia mbili na arobaini (240) za madawa ya kulevya aina ya heroin pale alipotiliwa shaka na kwenda kupekuliwa na maafisa usalama nyumbani kwake na kukutwa na mzigo huo.

Akiongeza kamanda wa polisi mkoa wa mwanza bw,.ahmed msangi kuwa mfanyabiashara huyo alikamatwa jana majira ya saa sita usiku mtaa wa kanyerere butimba wilaya ya nyamagana,aarifa walikwenda kufanya upekuzi huo baada kupata taarifa kutoka kwa raia wema kuwa mfanyabiashara huyo alikuwa ameingiza mzigo kutoka jijini Dar es salaam na ameshaanza kuusambaza.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MFANYABIASHARA JIJINI MWANZA AKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA"

Back To Top