Sunday, February 19, 2017

Sherehe kubwa za kupigana kwa kutumia nyanya kama tamaduni ya nchi ua uhispania kwa watu wa miji ya bunol na valencia,watu wanakusanyika kwa wingi mitaa yote ya mji huo na serikali uagiza tani na tani za malori ya nyanya na kumwagwa mitaani tayari kwa mapambano,
Mapambano hayo uhusisha watu wa rika mablimbali wakiwa wamevalia nguo rangi nyeupe tupu na utupiana nyanya hizo kwa nguvu na wingi sana na kuchauana kadri ya uwezo wao huku wakiogelea ktk madimbwi hayo ya nyanya zilizopasuka.

Vita hii ya nyanya(la tomantina) inafanyika pia maeneo mengine ya dunia ktk kila jumatano ya mwisho wa mwezi wa nane kila mwaka mara moja. Nchi ya ufaransa nayo mji wa paris wao usheherekea siku ya kupigana na mito (pillow fight day).
0 Comments "VITA YA NYANYA YAENDELEA UHISPANIA"