WALIMU KULIPWA BILIONI KUMI ZA MADAI YAO

Serikali imetamka kuwa madai ya walimu wanayoidai serikali zaidi ya bilioni kumi (10) ambazo ni madai ya nyuma ya kama pesa za likizo,nyongeza za madaraja.

Malalamiko hayo ya kada hii ya walimu wa shule za msingi na sekondari yako kwa mda mrefu na kusababisha usumbufu ktk mazingira ya kazi.
Aidha serikali imeahidi kulipa madai hayo yote hivi karibuni.
Kada ya elimu imekuwa ikiilalamikia ana serikali juu ya jinsi inakulimbikiza na kucheleweahwa kwa  madai ya walimu kwa mda mrefu na kufanya walimu kuishi ktk maisha magumu kuanzia sehemu za kazi na hata wanapoishi kwa kushindwa kujikimu ktk kodi za nyumba,pesa za usafiri na matibabu kwa familia zao.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "WALIMU KULIPWA BILIONI KUMI ZA MADAI YAO"

Back To Top