Seneta wa jimbo la Alabama bwana Jeff sessions ameteuliwa na rais trump kuwa mwanasheria Mkuu wa tafa hilo.
Jeff sessions ambae anahudumu kwa kupitia chama cha republican amezaliwa 24/12/1946 na kwasasa ana umri wa miaka (70)
Mary blackshear ndio mke wa mwanasheria Jeff sessions.
0 Comments "JEFF SESSIONS ATEULIWA KUWA MWANASHERIA MKUU MAREKANI"