Muongozaji na mkalimani wa watalii kwenye hifadhi ya taifa ya wanyama ya ngorongoro (NCAA) amejikuta matatani baada ya kutafsiri maneno ya mtalii wa kike aliyekuwa akimuongoza.
Mfasiri huyo wq lugha ya kingereza kiswahili alijikuta matatani baada ya video yake kusambaa ktk mitandao ya kijamii na kufika hadi kwa viongozi wa hadhi ya juu na kama waziri wa utalii Jumanne maghembe na kuagizwa kukamatwa Mara moja kwa mtumishi huyo.
Muongozaji huyo alitafsiri kuwa mtalii alikua akisema kuwa..
"Tanzania ni nchi masikini na watu wake wanalia njaa sana na wanataka rais aje na kuwapikia na haiwezekani hivyo wachemshe hata maua au nguo zao wale"
0 Comments "UTANI NA MASIHARA YAMPONZA MUONGOZAJI WATALII NGORONGORO"