
Hali hii ya rais huyu kuonekana akitangaza na kuashiria kama anamtangaza manae ktk biashara hiyo imeeonekana kuendana kunyume na sheria,taratibu na miiko ya rais wa marekani,kwa kukataza kwa kiongozi wa ngazi hiyo ya juu kushiriki njia yeyote ktk kutangaza biashara ya aina yeyote.
Mshauri wa rais trump Bi.kellyanne conway alionekana utetea jambo hilo kwa kuona rais hajavunja maadili kwa kufanya hivyo licha ya wanasiasa wengi nchini humo kukosoa mawazo hayo.
0 Comments "TRUMP AVUNJA MIIKO YA IKULU KWA KUMPIGIA DEBE MWANAE"