NYANGUMI ZAIDI YA 416 WAONEKANA WAKITAPATAPA KTK FUKWE ZA NEW ZEALAND

Visiwa vya new zealand vimeshuhudia nyangumi zaidi ya (416) wakitapatapa pembezoni mwa fukwe za bichi baada ya maji kuondoka  na kuwaacha wakihangaika kupumua na kurudi ktk maji ya kina kirefu ili kujiokoa lakini hata hivyo juhudi zao hazikuzaa matunda kutokana na kina kidogo ukilinganisha na uzito mkubwa wa nyangumi kuweza kuelea ktk maji machache hayo.

Hali hiyo ikilazimisha watu kusaidia nyangumia hao kwa kuwafunika vitambaa na kuwamwagia maji miilini mwao ili kupunguza joto na kufanyan waweze kupumua vizui,hata hivyo baada ya mda zaidi ya nyangumi mia mbili hamsini(275) walikufa kutokana na hali hiyo.

Zaidi ya miaka thelathini hapajawahi kutokea kundi kubwa kiasi hiki kuja pembezoni mwa bichi hiyo na kufa.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "NYANGUMI ZAIDI YA 416 WAONEKANA WAKITAPATAPA KTK FUKWE ZA NEW ZEALAND"

Back To Top