NDEGE YA KIVITA YA URUSI YAUA WANAJESHI WATATU WA UTURUKI

Ndege ya kivita ya urusi yaua wanajeshi watatu wa kituruki kwa bahati mbaya wakati ikifanya
mashambulizi ya anga ya kawaida huko syria kwa nia ya kuilinda serikali iliyopo madarakani ya Bshar Al asad!
Hatua hii inonekana ni  kama uchokozi baiana urusi na uturuki ambapo mahausiano baina nchi hizi mbali yamedolola sana baada ya kutaka kupinduliwa kwa rais erdogan lakini pia kupigwa kwa ndege ya urusi mpakani mwa Syria na uturuki.

Majeshi ya nchi ya uturuki yaliamua kuvamia nchi ya Syria na kuanza kushambilia miji ya mpakani.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "NDEGE YA KIVITA YA URUSI YAUA WANAJESHI WATATU WA UTURUKI"

Back To Top