JACOB ZUMA APATA UPINZANI AKITOA HOTUBA

Chama cha upinzani cha upinzani kijulikanacho kama EFF kikiongozwa na Julius malema.

Leo wamezia Mara kadhaa kuongea kwa rais wa nchi hiyo bwana jacoba Zuma asiongee chochote ikiwa kama njia moja wapo ya kumpinga yeye na utawala wake ambao wapinzani wanaulaumu kwa ukosefu wa ajira kwa asilimia 36% kwa wananchi.
Jambo lingene ni juu ya shutma nzito ya rushwa inayomkabili rais Zuma na serikali yake,hata hivyo sehemu nyingi ya mjinwa Capetown ulionekana  kuzungukwa na wanajeshi na polisi Wengi walikuwepo kwa ajili ya kulinda amani.
Hata hivyo baada tu kuanza kwa fujo  hizo polisi wa bunge  waliingia na kujaribu kuwatoa wapinzani hao na ndipo ngumi na na fujo zilipoanzia.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "JACOB ZUMA APATA UPINZANI AKITOA HOTUBA"

Back To Top